Numbers 8:9-11

9 aWalete Walawi mbele ya Hema la Kukutania na ukusanye jumuiya yote ya Waisraeli. 10 bUtawaleta Walawi mbele za Bwana, na Waisraeli wataweka mikono yao juu ya Walawi. 11 cHaruni atawaweka Walawi mbele za Bwana kama sadaka ya kuinua kutoka kwa Waisraeli, ili kwamba wawe tayari kuifanya kazi ya Bwana.

Copyright information for SwhKC